Tunapenda kuwapa taarifa kuwa sasa ni saa imefika ya kujifunza programs yaani software za kuchorea ramani zinazo kufanya uwe mmbabe wa programs na kuwa mtegemewa kama mtalaam wa mambo ya software ,Basi tunakuomba ujiandae na zoezi hilo punde tu litakapo anza usichelewa. tutakupa ratiba ya programs zipi zitakazoanza .
taarifa kwa wanachuo wote................
0 comments :
Post a Comment