tembelea mala kwa mala katika mtandao huu utapata ujuzi kwa kujua programu za kukuwezesha kuwa na maisha yako ukiwa mitaani .kuwa na ujuzi zaidi siku ukiwa katika ajira yako kwa kuwa mtandao wetu ndio unaanza kufanya kazi tutakuhudumia kwa kukupa promosheni za kukupatia masomo ya kujua program kama zifaatazo Auto-card, archiCard,Arc GIS, Arc view, Arcinfol,na zinginezo nyingi anza na sisi usipoteze muda sasa wakati ni huu na siku zijazo tutakuwa na dalasa maalumu kwa kujifunza jiandae kuwa mjuzi wa mambo ya kisayansi zaidi
Thursday, June 30, 2016
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
0 comments :
Post a Comment