MAHAFALI YA 35 YA CHUO CHA ARDHI MOROGORO
Ndugu wanachuo wote mnajulishwa kuwa mahafali ya kuwaanga wahitimu wa masomo ya stashahada ya Jiomatikia (Diploma in Geomatics) wa mwaka wa masomo 2015/2016 yatafanyika tarehe 24/03/2017 unakaribishwa kujionea mwenyewe ndugu mgeni rasimi Kaimu katibu mkuu wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya makazi akiwatunuku vyeti wahitimu wa masomo ya
Cheti
cha awali cha Jiomatikia (Basic Certificate in Geomatics (NTA LEVEL 04)),wa mwaka wa masomo 2015/2016
Astashahada
ya Jiomatikia (Certificate in Geomatics (NTA LEVEL 05)),wa mwaka wa masomo 2015/2016
Stashahada
ya Jiomatikia (Diploma in Geomatics (NTA LEVEL 06)).wa mwaka wa masomo 2015/2016
0 comments :
Post a Comment