Thursday, November 3, 2016

TANGAZO
WANACHUO WA NTA LEVEL 5&6, MNATAARIFIWA KUUDHULIA MAFUNZO YA PROGRAM ZA SURVEY LEO TAR 3/11/2016  SAA 3:00-4:00USIKU DARASA LA NTA LEVEL 6.
KUMBUKA KUJA NA:-
  • COMPUTER AU
  •  NOTE BOOK
N.B
 RATIBA YA MAFUNZO NI
  •     JUMATATU 
  •       JUMATANO
  •     ALHAMISI
TUNAWAKUMBUSHA KUWAHI NA KUHUDHULIA KILA KIPINDI MAANA MAFUNZO HAYA HAYATAJIRUDIA.

BY
WIZARA YA ELIMU

0 comments :

Post a Comment